Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kushoto) pamoja na Maofa Waandamizi wa Mahakama, aliowaapisha leo asubuhi, Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama Hussein Katanga, wanne kushoto) ni Msajili Mkuu wa Mahakama, Ignus Paul Kitusi na kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufani, Panterine Muliisa Kente. (Picha zote na Freddy Maro)
Thursday, August 9, 2012
Rais Kikwete awaapisha Watendaji Wakuu wa Mahakama
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue (kushoto) pamoja na Maofa Waandamizi wa Mahakama, aliowaapisha leo asubuhi, Ikulu jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Mtendaji Mkuu wa Mahakama Hussein Katanga, wanne kushoto) ni Msajili Mkuu wa Mahakama, Ignus Paul Kitusi na kulia ni Msajili wa Mahakama ya Rufani, Panterine Muliisa Kente. (Picha zote na Freddy Maro)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment