Mmoja wa wakilishi wa Tanzania katika michezo ya Olimpiki ya London 2012, aliyetuwakilisha kwenye mchezo wa kuogelea, Magdalena Moshi, akilakiwa na bibi yake, mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana jioni, baada ya wawakilishi hao, wa Watanzania kurejea nchini bila medali yeyote.

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ngumi Tanzania (BFT), Makore Mashaga, akisalimiana na baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye michezo ya Olimpiki mara baada ya kuwasili nchini wakitokea jijini London, ilikofanyika michezo ya Olimpiki mwaka huu.
|
Mwakilishi wa Tanzania katika mchezo wa ngumi, bondia Selemani Kidunda, akiwa uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana jioni, mara baada ya kuwasili.
|
Baadhi ya wawakilishi wa mchezo wa kuogelea, Amal (mbele), Gadiale na Magdalena Moshi wakiwasili uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam jana jioni.
|
No comments:
Post a Comment