TANGAZO


Wednesday, August 22, 2012

Washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, wakabidhiwa vitita vyao



Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko na NBC, Salome Mayenga, akionesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Maofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo (kushoto) na kulia ni Loiruck Mollel.
Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Wilbert Muganyizi, akionesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo, jijini Dar es Salaam leo.
Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Yahaya Makame, akionesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Kushoto ni Ofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo.
Mmoja wa washindi wa droo ya kwanza ya promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC, Justin Fabian, akionesha pesa alizoshinda katika hafla ambayo Benki ya NBC ilikabidhi zawadi kwa washindi 10 wa promosheni hiyo, jijini Dar es Salaam leo. Wanaoshuhudia ni Maofisa wa benki hiyo, Gaudence Shayo (kushoto) na kulia ni Judith Motta.

No comments:

Post a Comment