Friday, August 10, 2012
Wakenya waliojeruhiwa ajali ya magari, mkoani Pwani
Mmoja wa Wakenya waliojeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari manne, yakiwemo mabasi mawili na malori mawili katika Barabara ya Chalinze-Segera, eneo la Makole, mkoani Pwani leo, akiwa Hosipitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu. Watu 11 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa. (Picha zote na Khamisi Mussa)
Wauguzi katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili, Dar es Salaam, wakimuingiza wodini mmoja wa majeruhi wa ajali iliyohusisha magari manne, yakiwemo mabasi mawili na malori mawili katika Barabara ya Chalinze-Segera, eneo la Makole, mkoani Pwani leo. Watu 11 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Mmoja wa majeruhi wa ajali hiyo, Suzan Ngene kutoka Kenya, ambaye alivunjika mkono akiwa amefikishwa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili Dar es Salaam leo, baada ya kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha magari manne, yakiwemo mabasi mawili na malori mawili katika Barabara ya Chalinze-Segera, eneo la Makole, mkoani Pwani jana. Watu 11 wamekufa na wengine kadhaa kujeruhiwa.
Muuguzi Lidarose Rutaguza akimpatia tiba Beatrice Mugwe (42), ambaye amevunjika mkono katika ajali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment