Jukwaa Kuu katika uwanja wa Independence Square zilikofanyika Shughuli mbalimbali za mazishi ya aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills, jijini Accra leo Agosti 10, 2012.
Shughuli mbalimbali za mazishi ya aliyekuwa Rais wa Ghana Profesa John Evans Atta Mills katika uwanja wa Independence Square jijini Accra leo Agosti 10, 2012.
Askari wa vikosi mbalimbali vya jeshi la Ghana, wakiwa kazini wakati wa Shughuli mbalimbali za mazishi ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Profesa John Evans Atta Mills katika Uwanja wa Independence Square jijini Accra leo Agosti 10, 2012.
Askari wa vikosi mbalimbali vya jeshi la Ghana, wakiwa wamelibeba jenenza lililowekwa mwili wa aliyekuwa Rais wa nchi hiyo, Profesa John Evans Atta Mills katika Uwanja wa Independence Square jijini Accra leo Agosti 10, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na viongozi wenzake wa nchi mbalimbali baada ya shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa na viongozi wenzake wa nchi mbalimbali wakiweka saini vitabu vya maombolezo, baada ya shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia), akiwa na viongozi wenzake wa nchi mbalimbali baada ya shughuli ya mazishi ya Rais John Evans Atta Mills wa Ghana jijini Accra leo Agosti 10, 2012.











No comments:
Post a Comment