TANGAZO


Wednesday, August 22, 2012

Rais Jakaya Kikwete akiwa shambani kwake Msoga

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete, wakiwa na mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3) katika ghala la mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao, kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, mkoani Pwani leo. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii  katika kutekeleza kwa vitendo mpango wa Kilimo Kwanza alioubuni katika kuendeleza kilimo nchini. 



Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe, Mama Salma Kikwete, wakimwangalia mjukuu wao Aziza Ridhiwani (3), wakati alipokuwa akimenya moja ya mahindi katika ghala la mahindi yaliyovunwa kwenye shamba lao, kijijini Msoga, nje kidogo ya mji mdogo wa Chalinze, mkoani Pwani leo. Rais Kikwete ni mkulima na mfugaji kijijini hapo na ameonesha kufurahishwa sana na mavuno makubwa ya mahindi shambani kwake. Hii ikiwa ni katika kutekeleza kwa vitendo mpango wa Kilimo Kwanza alioubuni katika kuendeleza kilimo nchini. (Picha zote na Ikulu)

No comments:

Post a Comment