Wake wa Makamu wa Rais, Mama Asha Bilal (katikati), Mama Zakhia Bilal (wa pili kulia), wakijumuika na wananchi katika hafla ya futari ya pamoja iliyoandaliwa na mume wao, Makamu wa Rais, iliyofanyika katika ukumb wa Makonyo Chake-Chake Pemba jana Agosti 14, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi wa kisiwa cha Pemba, baada ya hafla fupi ya futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao pamoja katika ukumbi wa Makonyo Chake-Chake Pemba jana Agosti 14, 2012.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya wananchi wa kisiwa cha Pemba, baada ya hafla fupi ya futari aliyowaandalia wananchi hao na kufuturu nao pamoja katika ukumbi wa Makonyo Chake-Chake Pemba jana.
No comments:
Post a Comment