Boti ilyowabeba wananachi wa Kisiwa cha Pemba waliokimbilia Somalia na kuomba hifadhi ikielekea kisiwani humo juzi.
Mmoja
wa Viongozi wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR), akiwa amembeba mtoto wa mmoja wa Wananchi
waliokuwa nchini Somali kwa ukimbizi walipowasili bandari ya Mkoani kwa
Boti ya Sea Bus juzi.
Wananchi hao wakiwa bandari ya Mkoani Kisiwani Pemba baada ya kuwasili na boti ya Sea Bus juzi. |
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba, Juma Kassin Tindwa, akisalimiana na baadhi
ya Wananchi waliokuwa nchini Somali kwa ukimbizi walipowasili bandari ya
Mkoani Pemba kwa Boti ya Sea Bus.
Rashid Abdalla Said, akitoa shukrani kwa uongozi wa UNHCR na Serekali
ya Tanzania kwa Ushirikiano na Serekali ya Somali na Serekali ya
Zanzibar kwa kuwafikisha nyumbani kwa usalama wakiwa katika bandari ya
Mkoani kisiwani Pemba. (Picha na mdau wetu)
No comments:
Post a Comment