Rais
Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea maua muda mfupi baada ya kuwasili katika
Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis Ababa, Ethiopia kuhudhuria
mkutano wa 19 wa Wakuu wa Nchi wa Umoja wa Afrika (AU) leo jioni.
Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili
jijini Addis Ababa, Ethiopia kuhudhuria mkutano wa 19 wa Wakuu wa
Nchi za Umoja wa Afrika (AU) unaofanyika leo jioni. Kulia ni Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe na kushoto ni Balozi wa Tanzania
nchini Ethiopia, Joram Biswaro (Picha zote na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment