Golikipa wa timu ya mkoa wa Tanga, Fikirin Suleiman akimkwepa mshambuliaji wa timu ya mkoa wa Dodoma, Japhet Lunyungu (kushoto), baada ya kuudaka mpira, wakati wa mchezo wa robo fainali ya Copa Coca-Cola kati ya timu hizo, uliofanyika Uwanja wa Karume Dar es Salaam leo. Tanga imeshinda 1-0.
|
No comments:
Post a Comment