TANGAZO


Saturday, May 19, 2012

Waziri Dk. Fenela akutana na kiongozi wa Wandishi wa habari wa CCTV

 

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mkangala, akiongea na Kiongozi wa waandishi  wa habari wa CCTV, walipomtembelea ofisini kwa nia ya kuboresha ushirikiano baina ya Tanzania na China. Kulia kwake na mwandishi wa Habari Kutoka CCTV, Zhuziaoyong  (Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM)
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mkangala, akiwafafanulia jambo baadhi ya waandishi wa habari, wakati alipokutana na waandishi wa habari kutoka China.

No comments:

Post a Comment