Mkuu wa Wilaya mpya ya Ikungi, Manju Salum Msambya, akiapa mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Vicent Kone.
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Parseko Vicent Kone, (wa pili kutoka kulia), akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wapya wa Wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuwaapisha.
Baadhi ya viongozi wa Serikali na vyama vya siasa, mkoani Singida, waliohudhuria kuapishwa kwa wakuu wapya wa Wilaya za Mkoa wa Singida wakifuatilia matukio mbalimbali yaliyokuwa yakitendeka kwenye viwanja hivyo jana usiku.
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Manispaa ya Singida, John Kumalija, akimpongeza Mkuu mpya wa Wilaya ya Manyoni, Fatuma Taufiq, muda mfupi baada ya kuapishwa.
Mkuu wa Wilaya mpya ya Mkalama, Mussa Chang'a, akiwa kwenye picha na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba, Grace Mesaki juzi. (Picha zote na Nathaniel Limu)

No comments:
Post a Comment