TANGAZO


Sunday, May 20, 2012

Serengeti Bia yadhamini sh. milioni 150 Tuzo za TASWA

Katibu Mkuu wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA), Amir Mhando, akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, wakati Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), ilipokuwa ikitangaza udhamini wa sh. milioni 150 wa Tuzo za Mwanamichezo Bora wa mwaka wa Chama hicho, Ukumbi wa City Launge leo Kushoto ni Meneja Mahusiano na Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda na katikati ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto. (Picha zote na Kassim Mbarouk)

Baadhi ya waandishi wa habari na wapigapicha wa vyombo mbalimbali vya habari, wakifuatilia udhamini huo, wakati Meneja Mahusiano na Mawasiliano, Teddy Mapunda, alipokuwa akitangaza udhamini huo leo.
Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda, akizungumza na waandishi wa habari, ukumbi wa City Launge,  wakati alipokuwa akitangaza udhamini wa sh. milioni 150 wa tuzo za Mwanamichezo Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA), Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto na kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Taswa, Maulid Kitenge na Meneja Miradi Endelevu wa SBL, Nandi Mwiyombella.

Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda, akizungumza na waandishi wa habari, ukumbi wa City Launge, wakati alipokuwa akitangaza udhamini wa sh. milioni 150 wa tuzo za Mwanamichezo Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA), Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto.

Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda, akizungumza na waandishi wa habari, ukumbi wa City Launge,  wakati alipokuwa akitangaza udhamini wa Kampuni hiyo kwa tuzo za Wanamichezo Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA), Dar es Salaam leo. Katikati ni Mwenyekiti wa TASWA, Juma Pinto na Kulia ni Katibu wake Mkuu, Amir Muhando.

Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda, akizungumza na waandishi wa habari, ukumbi wa City Launge,  wakati alipokuwa akitangaza udhamini wa Kampuni hiyo kwa tuzo za Wanamichezo Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA), Dar es Salaam leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Taswa, Juma Pinto na kushoto ni Meneja Miradi Endelevu wa SBL, Nandi Mwiyombella.

No comments:

Post a Comment