Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Ilala, Kata ya Ilala, wakimsikiliza Mbunge wao, Mussa Azaan 'Zungu', wakati alipofikahapo kwa ajili ya kuwashukuru na kuwasikiliza matatizo yao yanayowakabili.
Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan 'Zungu', akizungumza na wapigakura wake wa Kata ya Ilala, Dar es Salaam, wakati alipofika kwenye kata hiyo kwa ajili ya kuwashukuru na kuwasikiliza matatizo yanayowakabili leo. Wa pili kushoto ni Diwani wa Kata hiyo, Edison Fungo, Afisa Mtendaji Sam Swila na Mwenyekiti wa Mtaa wa Sharifu Shamba, Mtoro Shah.






No comments:
Post a Comment