TANGAZO


Thursday, May 3, 2012

Profesa Mbarawa afungua Semina ya wadau wa Tehama, Dar es Salaam


Waziri wa Sanyasi, Mawasiliano na Tekenolojia, Profesa Makame Mbarawa, akizunguma na wadau wa TEHAMA, Dar es Salaam leo, wakati alipokuwa akiifungua semina maalumu ya kuangalia maendeleo katika sekta hiyo ya habari. Semina hiyo inafanyika Makao Makuu ya Tume ya Mawasiliano (TCRA), jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano (ICT), Sayansi na Teknorojia, Aida Opoku, akisisitiza jambo, wakati wa semina hiyo.

 Wadau mbalimbali waliohudhuria katika semina hiyo, wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa  katika mkutano huo.

Waziri wa Sanyasi, Mawasiliano na Tekenojia, Profesa Makame Mbarawa (katikati), akishauriana jambo na Naibu wake, Charles Kitwanga. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dk. Florence Turuka.

No comments:

Post a Comment