TANGAZO


Monday, May 21, 2012

CHADEMA chafunga kazi Uwanja wa Wenje, Sengerema, Chakomba Wana CCM kibao


Ezekia Wenje, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, akihutubia wananchi wa Sengerema katika Uwanja wa Wenje, mjini humo jana, aambapo alisema Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, hasafishiki kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa fedha bilioni 600, uliofanyika katika Wizara ya Nishati na Madini na kubainishwa na taarifa ya CAG. (Picha zote na Baltazar Mashaka)


Wananchi waliofurika Uwanja wa Wenje kuhudhuria mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), wakiwa wamekunja ngumi wakitamka maneno ya Peoples Power yanayoitumiwa na chama  hicho. 



Ezekia Wenje, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, akihutubia wananchi wa Sengerema katika Uwanja wa Wenje, mjini humo jana, ambapo alisema Mbunge wa Sengerema William Ngeleja hasafishiki kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa fedha sh. bilioni 600,  uliofanyika katika Wizara ya Nishati na Madini na kubainishwa na taarifa ya CAG.


Godbless Lema akitihutubia mkutano wa hadhara mjini Sengerema jana. 



Lema akikisistiza jambo huku kushoto akiwa ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), anayedai kufukuzwa chuoni na uongozi wa chuo hicho. 



Mbunge wa zamani wa Jimbo la Arusha, Godless Lema akiwa ameshikilia kadi zilizorejeshwa na baadhi ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wilayani Segerema jana , kufuatia mkutano uliofanywa na Chadema. 


Lema akihamasisha wana CCM, kurejesha kadi zao na kupokea za Chadema katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Wenje, mjini Sengerema jana.



Godbless Lema, akigawa kadi za Chama chake mara baada ya kumaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mjini Sengerema jana. 



Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Lugata (CCM), Adriano Tizeba, akihutubia mkutano wa hadhara mjini Sengerema.



Wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Wenje, kuhudhuria mkutano wa Chadema, wakiwa wamekunja ngumi wakimtaka maneno ya Peoples Power yanayoitumiwa na chama hicho.



Ezekia Wenje, Mbunge wa Jimbo la Nyamagana, akihutubia wananchi wa Sengerema katika Uwanja wa Wenje mjini humo jana, aambapo alisema Mbunge wa Sengerema William Ngeleja, hasafishiki kutokana na tuhuma za ubadhirifu wa fedha, sh. bilioni 600, uliofanyika katika Wizara ya Nishati na Madini aliyokuwa akiiongoza na kubainishwa na taarifa ya CAG.



Aliyekuwa Diwani wa CCM Kata ya Nyampulukano, Sengerema, aliyejiunga na Chadema , Hamis Mwagao Tabasamu, akihutubia umati wa wananchi wa Sengeerema jana katika mkutano wa hadhara ambao ulifanyika kwenye Uwanja wa Wenje mjini humo.



Wananchi waliofurika kwenye Uwanja wa Wenje kuhudhuria mkutano wa Chadema, wakifurahia moja ya hotuba za viongozi wa Chama hicho zilizokuwa zikitolewa uwanjani  hapo jana. 

No comments:

Post a Comment