TANGAZO


Monday, February 13, 2012

Zanzibar yachangia Waathirika wa Mafuriko Dar

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd, akimkabidhi Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, hundi  ya sh. milioni 50 kwa ajili ya watu walioathirika kutokana na mafuriko Mkoani Dar es Salaamuk iwa ni mchango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam hivi karibuni. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Idd kabla ya kupokea hundi ya Sh. milioni 50,000,000/= ukiwa ni mchango wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa waathirika wa mafuriko hayo, yaliyotokea hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment