Waziri wa Nchi Ofisi Ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa SEC RAC, Koplo Khatibu Shadhil, kuhusu matumizi ya vifaa vya ufundi wa mafriji na viyoyozi, alipotembelea Chuo cha Ufundi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), huko Mtoni mjini Unguja. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mtoni Faki Haji Makame. (Picha na Ali Meja)
Thursday, February 23, 2012
Waziri Samia atembelea bandari, JKU, Zanzibar
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano, Samia Suluhu Hassan, akipata maelezo kuhusu upakuwaji wa makontena katika bandari ya Zanzibar kutoka kwa Mkuu wa Mipango (ZPC), Ali Haji Haji, wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo leo mjini humo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa bandari, Msanifu Haji Mussa na Maofisa wa Bandari ya Zanzibar. (Picha na Ali Meja)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano Samia, Suluhu Hassan, akitembelea Bandari ya Zanzibar wakati wa ziara yake ya kuangalia shughuli za maendeleo mjini humo leo. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Bandari, Msanifu Haji Mussa, wakiwa na Maofisa wengine wa bandari hiyo.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano Samia, Suluhu Hassan akitembelea Kitengo cha makontena, bandarini hapo, wakati wa ziara hiyo. Kulia Kaimu Mkurugenzi wa bandari Msanifu Haji Mussa na Maofisa wengne wa bandari ya Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi Ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa SEC RAC, Koplo Khatibu Shadhil, kuhusu matumizi ya vifaa vya ufundi wa mafriji na viyoyozi, alipotembelea Chuo cha Ufundi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), huko Mtoni mjini Unguja. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mtoni Faki Haji Makame. (Picha na Ali Meja)
Waziri wa Nchi Ofisi Ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa SEC RAC, Koplo Khatibu Shadhil, kuhusu matumizi ya vifaa vya ufundi wa mafriji na viyoyozi, alipotembelea Chuo cha Ufundi cha Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU), huko Mtoni mjini Unguja. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Mtoni Faki Haji Makame. (Picha na Ali Meja)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment