Mchezaji Nassoro Said 'Cholo' wa Taifa Stars (kulia), akipambana na Kasusula Kilisho wa Jamhuri ya Kongo (DRC), wakati wa mchezo wa Kimataifa wa kirafiki, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo jioni. Timu hizo zilitoka suluhu ya bila kufungana. (Picha na Kassim Mbarouk)
Mchezaji Deo Kanda wa DRC, akijaribu kuwatoka Nassoro Cholo na Aggrey Morris (kushoto) wa Taifa Stars katika mchezo huo.
Mchezaji Nsa Job wa Stars (kushoto), akimfuata Deo Kanda wa DRC, kwa ajili ya kumzuia asiende na mpira.
Kasusul Kilisho wa DRC, akimtoka Uhuru Selemani wa Taifa Stars katika mchezo huo.
Deo Kanda wa DRC, akimtoka Shaaban Nditi wa Stars.
Uhuru Selemani wa Stars (kushoto), akipambana na Tresor Mputu wa DRC.
Mashabiki wa Stars wakifuatilia pambano hilo, uwanjani hapo.
Mashabiki wa DRC (mbele), wakifuatilia mchezo huo.
No comments:
Post a Comment