Ofisa Uhusiano wa Tigo, Alice Maro (kushoto)
akimkabidhi Anitha Kasanga mfano wa hundi yenye thamani ya sh. milioni 4, baada
ya kuwa miongoni mwa washindi wa promosheni ya 'Zamu Yako Kushinda' Dar es
Salaam leo. Katikati ni Mratibu wa Matukio wa Tigo, Edward Shila. (Na mpiga picha wetu)
No comments:
Post a Comment