TANGAZO


Tuesday, February 21, 2012

Shule ya Msingi ya Bwilingu yasaidiwa madawati na Mfuko wa PSPF

 Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma (PSPF), Godfrey Ngonyani, akizungumza na wazazi na wanafunzi pamoja na bodi ya Shule ya Msingi ya Bwilingu, Chalinze mkoani wa Pwani, wakati walipokwenda kukabidhi msaada wa madawati 60, yenye thamani ya sh. milioni 3. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Shule, Anifa Kombo na Mjumbe wa bodi ya PSPF, Ramadhani Maneno. (Picha na Mpigapicha Wetu)

 Kaimu Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani wa mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma (PSPF), Godfrey Ngonyani (kushoto), akikabidhi msaada wa madawati 60, yenye thamani ya sh. milioni 3, kwa mjumbe wa Kamati ya Shule Msingi Bwilingu, Chalinze, Jacklin Kitego. Kulia ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Anifa Kombo.




 Wanafunzi wa shule hiyo, wakiyabeba madawati hayo, kwa ajili ya kuyaingiza kwenye madarasa ya shule hiyo.



Baadhi ya wanafunzi wa Shule hiyo, wakigombania kukaa kwenye madawati mapya waliosaidiwa na Mfuko wa Pesheni wa Utumishi wa Umma (PSPF), mkoani humo leo.

No comments:

Post a Comment