TANGAZO


Tuesday, February 21, 2012

Mfanyabiashara wa Syria, Mohamad Mahdi wa Kampuni ya Silver Star ya Iran, akimpatia maelezo mmoja wa wananchi waliofika kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Syria nchini, jijini Dar es Salaam leo Februari 21, 2012. (Picha na Kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment