TANGAZO


Tuesday, February 21, 2012

Rais Kikwete aenda Uingereza kikazi

 Rais Jakaya Kikwete, akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki, muda mfupi kabla ya kuondoka nchini leo asubuhi, kuelekea Uingereza kwa ziara ya kikazi. (Picha na Freddy Maro)




Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadiki, akimsikiliza Rais Jakaya Kikwete, wakati alipokuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu JK Nyerere, kabla ya safari yake ya kuelekea nchini Uingereza leo asubuhi. 

No comments:

Post a Comment