Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea shamba la mahindi la Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lililopo kijiji cha Vilolo, wakati akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi na Rukwa jana Februari 20, 2012. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea shamba la ufugaji nyuki wa kisasa la Waziri Mkuu Mizengo Pinda, lililopo kijiji cha Vilolo wakati akiwa katika ziara yake hiyo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea shamba hilo.
Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na baba mzazi wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Exavery Kayanza Pinda, wakati alipokuwa akipita kuelekea kijiji cha Mwamapuli akiwa katika ziara yake ya Mkoa wa Katavi jana. Kulia nia Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Eng. Stella Manyanya. (Picha na Muhidin Sufiani-OMR)
Mke wa Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, mama Asha Bilal, akisalimiana na mama mzazi wa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Albetina Kasanga, wakati wa ziara hiyo.






No comments:
Post a Comment