TANGAZO


Wednesday, February 29, 2012

Mawaziri wa Nchi za Mamlaka ya Ziwa Tanganyika wakutana Kigoma

  Mawaziri wa Nchi za Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, wakiangalia ngoma (pichani haipo), wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Tano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, uliofanyika kwenye Hotel ya Lake Tanganyika mkoani Kigoma leo. (Picha na Ali Meja)



  Mkuu wa Wilaya ya Kigoma, John Mogella, akiufungua mkutano wa Tano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, kwaniaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kigoma. Mkutano huo umehusisha Nchi za Tanzania, Zambia, Burundi na Congo kwenye Hotel ya Lake Tanganyika, mjini Kigoma leo asubuhi. (Picha na Ali Meja)




Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk. Terezya Huvisa, akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika, Dk Henry Mwima wakati wa Mkutano wa Tano wa Mamlaka ya Ziwa Tanganyika uliofanyika kwenye Hotel ya Lake Tanganyika, mkoani Kigoma leo.(Picha na Ali Meja)

No comments:

Post a Comment