Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, akabidhi fedha kwa kikundi cha Utamaduni
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Zanzibar, Balozi Seif Ali Iddi, akimkabidhi shilingi 500,000/- Katibu Mkuu wa Wizara ya Kazi, Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika, Asha Abdullah katika kutekeleza ahadi yake kwa kikundi cha Utamaduni cha Shule ya Kiongoni Makunduchi leo mjini Zanzibar. (Picha na Halima Mohammed, Zanzibar)
No comments:
Post a Comment