TANGAZO


Monday, February 20, 2012

Mabondia Mkalekwa, Mohamed kutwangana Feb. 24


Bondia Salehe Mkalekwa (kushoto) na Abdalah Mohamed 'Prince Nasem', wakitunishiana misuli, Dar es salaam leo, wakati  wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Kg 67,  litakalofanyika Februari 24. Katikati ni Mratibu wa mpambano huo, Shaban Adiosi 'Mwaya Mwaya'. (Picha na Super D, Mnyamwezi)

No comments:

Post a Comment