TANGAZO


Friday, February 17, 2012

Madrasa Abbasiya Kariakoo waadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAWA), Kariakoo

  Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha mafuta cha Big Bon, Kariakoo, Dar es Salaam jana, 16, 2012, wakielekea kwenye viwanja vya Madrasa Abbasiya kwa ajili ya kusomwa Maulidi. (Picha na Khamis Mussa)


 
Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha kuzaliwa Mtume Muhammad (SAW), mtaa wa Msimbazi karibu na kituo cha mafuta cha Big Bon, Kariakoo, Dar es Salaam leo, 16, 2012, wakielekea kwenye viwanja vya Madrasa Abbasiya. (Picha na Khamis Mussa)



  Waumini wa Dini ya Kiislamu wakicheza dufu wakati wa maandamano hayo ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (SAW), mtaa wa Msimbazi Dar es Salaam.


 Vijana wa Kiislamu wakiwa wamebeba bendera ya Mtume Muhammad (SAW) kwenye maandamano hayo.


 Wanawake, waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye maandamano hayo, mtaa wa Msimbazi, Dar es Salaam jana.


Waumini hao, wakielekea kwenye Madrasa Abbasiya kwenda kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhammad kwa kusoma Maulidi na Swala ya kumswalia Mtume huyo.

No comments:

Post a Comment