TANGAZO


Wednesday, February 22, 2012

Airtel yakabidhi zawadi kwa mshindi wa Airtel MZUKA

 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando, akizungumza na
waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati wa hafla ya kukabidhi
zawadi ya sh. milioni 50, kwa mshindi wa promosheni ya Airtel MZUKA, Khadija Omaria (kulia), Ofisi za Airtel, barabara ya Ali Hassan Mwinyi na Morocco. Kushoto ni Afisa Mawasiliano wa Airtel, Dangio Kaniki. (Picha na mpigapicha wetu)


 Meneja Uhusiano wa Airtel Tanzania Jackson Mmbando akikabidhi mfano wa hundi ya
sh. milioni 5o, kwa mshindi wa pili wa promosheni  ya
Airtel MZUKA, Khadija Omari Issa. Katikati ni Ofisa Mawasiliano
wa Airtel, Dangio Kaniki.


 Mshindi wa pili wa promosheni  ya Airtel MZUKA, Khadija Omari Issa
akionyesha cheki yake ya sh. milioni 50, alizojishindia katika
promosheni kabambe ya Airtel MZUKA, inayoendeshwa na Airtel, wakati wa hafla ya makabidhiano, yaliyofanyika Ofisi Kuu za Airtel, Dar es salaam leo Februari 22, 2012.


Mshindi wa pili wa promosheni  ya Airtel MZUKA, Khadija Omari Issa

akizungumza na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, mara baada ya kukabidhiwa hundi yake ya sh. milioni 50, Ofisi Kuu ya Airtel, Dar es salaam leo.

No comments:

Post a Comment