TANGAZO


Wednesday, February 22, 2012

Waziri Samia, atembelea na kukagua miradi ya maendeleo Zanzibar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muugano, Samia Suluhu Hassan (kushoto), akipatiwa maelezo kutoka kwa Mwajuma Mwinyi, kuhusu matumizi ya mwani wa baharini, ambao huutumia kwa kutengenezea Sabuni ya kuogea na kuweka unyevunyevu kwenye ngozi na kuifanya kuwa nyororo, wakati wa ziara yake ya kutembelea miradi ya maendeleo, inayofadhiliwa na Serikali ya Muugano, huko Bweleo, Wilaya ya Magharibi mjini Unguja. (Picha na Ali Meja)


Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano, Samia Suluhu Hassan, akioneshwa kito kinachotengeneza Lulu ambayo hufanywa pete na Katibu waushirika wa Ukweli ni Njia Safi, Safia Hashim, alipotembelea kikundi cha akini mama cha Bweleo, Wilaya ya Magharibi Unguja, wakati wa ziara yake hiyo.




Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muugano, Samia Suluhu Hassan (kushoto), akiijaribu na kuiangalia pete, iliyotengenezwa na kito hicho.

No comments:

Post a Comment