TANGAZO


Thursday, December 8, 2011

Zawadi yetu kwenu

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda, akitoa ufafanuzi   kwa Mwenyekiti wa Bunge la Algeria, Abdelkader Bensalah (katikati) na Balozi wa Algeria nchini, Tabet Djelloul, kuhusu zawadi ya saa yenye kumbukumbu ya picha za historia ya Maspika  wa Bunge waliopita toka mwaka 1953 hadi sasa, aliyomwandalia Mwenyekiti huyo, ikiwa ni sehemu ya kumbukumbu ya  maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara. (Picha na Aron Msigwa – MAELEZO)

No comments:

Post a Comment