Spika Anne Makinda, akitoa ufafanuzi kwa Balozi wa Pakistan nchini, Tajammul Altaf kuhusu zawadi ya saa aliyomuandalia Balozi huyo, yenye kumbukumbu ya picha za historia za Maspika walomtangulia, toka mwaka 1953 hadi sasa. (Picha na Aron Msigwa – MAELEZO)
No comments:
Post a Comment