TANGAZO


Thursday, December 8, 2011

Karibu ujifunze kwetu

Mbunge kutoka Bunge la Canada, Deepak Obhrai, akimsikiliza kwa makini Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda mara baada ya kumtembelea Ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. (Picha na Aron Msigwa – MAELEZO.)

No comments:

Post a Comment