Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Ufugaji Nyuki, Gladness Mkamba, akimpatia maelezo Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuhusu ufugaji nyuki na jinsi ya kuvuna mazao yake, wakati alipotembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, kabla ya kuyafunga jana. Wa pili kushoto ni Waziri wa Wizara hiyo, Ezekiel Maige. (Picha na Kassim Mbarouk)


No comments:
Post a Comment