TANGAZO


Monday, December 12, 2011

Chuo cha IFM

Ofisa Uhusiano wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), Teddy Mandoza, akiwapatia wananchi waliofika kwenye banda la Wizara ya Fedha, vipeperushi vya chuo hicho katika maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Viwanja vya Mwalimu Nyerere, barabara ya Kilwa, Dar es Salaam jana. (Picha na kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment