TANGAZO


Monday, December 12, 2011

Mahafali MUHAS

Baadhi ya wahitimu wa Shahada za fani mbalimbali wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi, Shirikishi, Muhimbili (MUHAS), wakiwa katika mahafali yao juzi. Hata hivyo mahafali yao yalikumbwa na ghasia za baadhi ya wanafuzi kufanya maandamano ya kutaka kurejeshewa Chama chao cha MUHASSO pamoja na mambo mengine. (Picha na kassim Mbarouk) 

No comments:

Post a Comment