TANGAZO


Monday, December 12, 2011

Kikwete kwenye maonesho ya maadhimisho

Rais Jakaya Kikwete, akitembelea Viwanja vya maonesho vya Mwalimu Julius  K. Nyerere, Kilwa Road, Dar es Salaam jana, kuangalia maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara.

No comments:

Post a Comment