Monday, December 12, 2011
Uzuiaji moto kwa Setilati
Mrasimu Ramani Mwandamizi wa Masuala ya Kijiografia wa SADC katika uzuiaji wa majanga ya moto kwa njia ya Setilati, Kekilia Kabalimu, akimpatia Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, maelezo juu ya kitengo hicho kinavyofanya kazi zake, wakati alipolitembelea banda la Wizara ya Maliasili na Utalii, kabla ya kuyafunga maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Viwanja vya Maonesho vya Mwalimu Julius Nyerere, Kilwa Road, Dar es Salaam jana. (Picha na Kassim Mbarouk)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


No comments:
Post a Comment