TANGAZO


Monday, December 12, 2011

Wakufunzi wa Kichina

Waziri Mkuu Mizengo Pinda, akisalimiana na raia wa China waliokuja nchini kutoa mafunzo kwa wanafunzi waliokuwa wakishiriki mchezo wa halaiki, mara baada ya kuyafunga maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru jana. Halaiki hiyo ilioneshwa siku ya kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam juzi. (Picha na Kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment