TANGAZO


Monday, December 12, 2011

Kapteni Komba kazini

Msanii na Mbunge wa Mbinga Mashariki, Kapt. John Komba, akiimba wimbo unaoitwa miaka 50 ya Uhuru, wakati wa ufungaji wa maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru, Viwanja vya Mwalimu J. K. Nyerere, Kilwa Road, Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment