TANGAZO


Thursday, December 15, 2011

Ubora wa chai Tausi

Meneja wa kiwanda cha Kyimbila Tea Packing, David Malaki, akimuonesha Waziri, Dk. Mary Nagu, namna wanavyoangalia ubora (testing) wa chai ya Tausi kabla ya kuifunga kwenye paketi za uzito mbalimbali. Kulia ni Meneja wa Fedha, Beatrice Kitinde.

No comments:

Post a Comment