Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, akizungumza waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu maendeleo ya Sekta ya Madini nchini kwa kipindi cha miaka 50 iliyopita. Kulia ni Naibu Waziri wa wizara hiyo, Adam Malima. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)
No comments:
Post a Comment