TANGAZO


Thursday, December 8, 2011

Madawati kwa shule zote

Mbunge wa Jimbo la Ilala, Mussa Azzan 'Zungu', akikabidhi moja ya madawati 60 aliyoyatoa, kwa Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi Gerezani, Ditrick Mkwela, yenye thamani ya sh. milioni 4.2 kwa ajili ya shule hiyo, Dar es Salaam jana. Wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Gerezani Mashariki, Alhaj Abdurrahaman Twalib na Katibu wa Jimbo la Ilala, Fatuma Abubakary. (PICHA NA KASSIM MBAROUK)

No comments:

Post a Comment