TANGAZO


Wednesday, December 7, 2011

Nasisi tujikumbushe

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Kassim Majaliwa, akizungumza katika hafla hiyo. Waliokaa ni Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Shukuru Kawambwa (katikati), Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia) na mshindi wa mnada wa dawati walilolikalia, Mkurugenzi wa Kampuni ya MMG Gold, Joseph Obeto, aliyelilinunua kwa sh. milioni 5 na kisha kulikabidhi kwa Waziri Kawambwa.

No comments:

Post a Comment