Minja wa kampuni ya magari ya CFAO, akimkabidhi funguo ya gari la Miss Tanzania, aina ya Jeep Patriot, Rukia Mtingwa wa Kampuni ya Vodacom, wadhamini wa mashindano hayo na watoaji wa zawadi hiyo, wakati wa kukabidhi zawadi hiyo kwa Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel (wa pili kushoto), leo mchana. (Picha na Richard Mwaikenda)
No comments:
Post a Comment