Mchezaji Tuku Subira (kushoto) wa timu ya Mkoa wa Iringa na Semeni Godwin wa Mkoa wa Shinyanga, wakiwania mpira wakati wa mashindano ya Taifa ya mpira wa kikapu, Viwanja vya Leaders Club, Dar es Salaam leo. Shinyanga ilishinda vikapu 51-27. (Picha na Mdau Wetu)
No comments:
Post a Comment