TANGAZO


Monday, December 12, 2011

Kombe la CECAFA

Rais wa Serikali ya Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein, akimkabidhi nahodha wa timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes', Andrew Mwesigwa, Kombe la Ubingwa wa michuano ya CECAFA, baada ya timu hiyo kuibuka bingwa kwa kuifunga Rwanda kwa mikwaju 3-2 ya penalti, katika mchezo wa fainali, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam juzi. Kushoto ni Waziri wa Michezo wa Zanzibar, Jihad Hassan Jihad. (Picha na Kassim Mbarouk)

No comments:

Post a Comment