TANGAZO


Monday, December 12, 2011

Furaha ya Ushindi

Wachezaji wa timu ya Taifa ya Uganda wakishangilia baada ya kumalizika upigaji wa penalti tano tano na wao kuibuka na ushindi wa mikwaju 3 dhidi ya 2 ya Rwanda.

No comments:

Post a Comment