TANGAZO


Saturday, July 18, 2015

Yanga yakubali kipigo cha mabao 2-1 mbele ya Gor Mahia ya Kenya Kombe la Kagame Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam

Mashabiki wa Yanga wakitamba kabla ya mchezo kati ya timu hiyo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya Uwanja wa Taifa katika mchezo wa kuwania Kombe la Kagame, jijini Dar es Salaam leo. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Mashabiki wa Yanga wakitamba kabla ya mchezo kati ya timu hiyo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya Uwanja wa Taifa katika mchezo wa kuwania Kombe la Kagame, jijini Dar es Salaam leo. 
Mashabiki wa Yanga wakitamba kabla ya mchezo kati ya timu hiyo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya Uwanja wa Taifa katika mchezo wa kuwania Kombe la Kagame, jijini Dar es Salaam leo.  
 Vijana wakiingia Uwanja wa Taifa, wakiwa na bendera za Taifa za nchi timu zinazoshiriki katika mashindano hayo ya Kombe la Kagame.
Wachezaji wa timu ya Gor Mahia wakiingia uwanjani kwa ajili ya mchezo dhidi ya Yanga.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga (katikati), akiingia uwanjani kwenda kuzikagua timu kabla ya mchezo.
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga (aliyefichika), akikagua timu kabla ya mchezo. 
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga (aliyefichika), akikagua timu kabla ya mchezo. 
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, akiwasalimia mashabiki kwenye majukwaa baada ya kuzikagua timu hizo
Kikosi cha timu ya Gor Mahia kikipiga picha ya pamoja kabla ya mchezo huo.  
Kikosi cha timu ya Yanga kikipiga picha ya pamoja kabla ya mchezo huo. 
Golikipa wa timu ya Gor Mahia ya Kenya, Boniface Oluoch, akichupa bila mafanikio, huku Simon Msuva wa Yanga, akikiambia kuuwahi mpira, uliokuwa ukiingia wavuni, wakati Donald Ngoma (hayupo pichani) wa timu hiyo, alipopiga krosi na kuipatia Yanga bao pekee katika mchezo huo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame, uliochezwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Mwisho Gor Mahia ilishinda mabao 2-1. 
Deus Kaseke wa Yanga, akiupiga mpira krosi, huku akifuatwa na Karim Nizigiyimana wa Gor Mahia ya Kenya, wakati timu hizo zilipopambana katika michuano ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.
Deus Kaseke wa Yanga, akimtoka Karim Nizigiyimana wa Gor Mahia ya Kenya, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Gor Mahia ilishinda mabao 2-1.  
 Mashabiki wa Simba, wakiishangilia timu ya Gor Mahia baada ya kusawazisha bao na kuwa bao 1-1 wakati wa kipindi cha kwanza cha mchezo huo.
Deus Kaseke wa Yanga, akimtoka Sibomana Abouba wa Gor Mahia ya Kenya, wakati timu hizo zilipopambana katika mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Kagame, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo. Gor Mahia ilishinda mabao 2-1. 
Refarii wa mchezo huo, Ssali Mashood, akimuonesha kadi ya Pili ya njano na kisha nyekundu donald Ngoma wa Yanga baada ya kuchezea rafu Haruna Shakava (kulia) wa Gor Mahia. 
Amisi Tambwe wa Yanga (kulia), akipambana na Mussa Muhamed wa Gor Mahia. 
Amisi Tambwe wa Yanga (kulia), akijaribu kumtoka Mussa Muhamed wa Gor Mahia.
 Haruna Niyonzima wa Yanga (kulia), akiwania mpira na Aucho Khalid wa Gor Mahia
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo.
Shabiki wa Yanga, akiwa amejipaka rangi za timu hiyo, huku akishangilia timu yake hiyo. 
Mashabiki wa Yanga wakifuatilia mchezo kati ya timu yao hiyo dhidi ya Gor Mahia ya Kenya, Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. 
Wachezaji wa Gor Mahia ya Kenya wakishangilia bao la Pili la timu hiyo dhidi ya Yanga ya Tanzania.
Michael Olunga wa Gor Mahia, akipiga krosi huku akiwa amebanwa na Juma Abdul wa Yanga. 
Michael Olunga wa Gor Mahia, akimtoka Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'
 Michael Olunga wa Gor Mahia, akipambana na Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro'
Michael Olunga wa Gor Mahia, akijaribu kumtoka Nahodha wa Yanga, Nadir Haroub 'Canavaro' 
Kocha wa Yanga, Hans Pluijm akionesha hali ya kusikitika baada ya Nahodha wa timu yake, Nadir Haroub 'Canavaro' kukosa penalti ya kusawazisha bao la pili, wakati wa dakika za mwisho za mchezo huo.
Mashabiki wa Yanga wakiwa wamefurika uwanjani humo kushuhudia timu yao hiyo. 
Makocha wa Yanga, Hans Pluijm (kushoto) na wa Gor Mahia, Frank Nuttal wakizungumza jambo mara baada ya mchezo huo kumalizika.

No comments:

Post a Comment