TANGAZO


Saturday, July 18, 2015

Mabodia wapima uzito kwa ajili ya mapambano wa kesho ukumbi wa Vijana Kinondoni jijini Dar es Salaam

- Mkufunzi wa Marefarii wa chama cha ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Champion akiwapa mawaidha baadhi ya mabondia waliopima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa idi pili katika ukumbi wa Vijana Kinondoni. (Picha zote na Super D, Mnyamwezi)
Bondia wa uzito wa juu Juma Abdi akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho Jumapili, ukumbi wa Vijana, Kinondoni.
Bondia Abdallah Pazi akipima uzito kulia ni Mkufunzi wa Marefarii wa chama cha ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Champion na mpinzani wake Imani Mapambano.
Bondia Imani Mapambano akipima uzito.

No comments:

Post a Comment